Siku 2 za maombi ya kufunga Maryland, karibu sana!.
 |
| Ongeza kichwa |
Hezron mwanafunzi wa yesu tutakutana pamoja tarehe
21-23 March, 2014 kwenye maombi ya kufunga na kuomba kwa siku mbili.
Kuanzia Ijumaa usiku ni mkesha wa toba, Jumamosi ni mafundisho, maombi
na maombezi mpaka Jumapili jioni tutafungua kwa pamoja. Kutakuwa na
watumishi mbali mbali watakaohudumu siku hizo!
Kwa wale wangependa kuhudhuria maombi
haya karibuni sana, na ikiwa una mtu anayehitaji kuombewa usisite
kumleta. Ikiwa hutaweza kuhudhuria na ungependa tuombe pamoja tutafurahi
kufanya hivyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni